Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 6,248 | Umetazamwa mara 13,281
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ee nafsi yangu umsifu Bwana, Ee nafsi yangu umsifu Bwana, Ee nafsi yangu umsifu Bwana, Ee nafsi yangu umsifu Bwana.
Mashairi:
1.Bwana ndiye ashikaye kweli milele na milele, bwana huwafanyia hukumu wale walioonewa.
2.Huwapa wenye njaa, huwapa chakula, hufungua waliofungwa hufungua waliofungwa.
3. Bwana huwategemeza yatima na wajane, bali njia ya wasio haki bwana huipotosha.