Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 2,482 | Umetazamwa mara 6,319
Download NotaKiitikio:
Mkombozi amezaliwa ulimwengu naufurahie, viumbe vyote vya dunia viimbe kwa furaha, vipaze sauti zao vikishangilia kuzaliwa,kuzaliwa Mkombozi wa dunia. Gloria, Gloria, Gloria, Gloria. Gloria, Gloria juu mbinguni na duniani pote.
Mashairi:
1. Kwani yeye ni Mfalme, mfalme wa Mbingu, Mfalme wa mbingu na dunia yote
2. Utukufu na ukuu unaye yeye bwana, milele na miele milele na milele.
3. Uweza wa kifalme, uweza wa kifalme, uweza wa kifalme upo mabegani pake.