Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 3,552 | Umetazamwa mara 7,838
Download Nota Download Midi
Kiitikio:
Itakuaje leo hii Mungu akishuka duniani kutuhukumu (sisi) wanadamu, Itakuaje leo hii Mungu akishuka kutoa hukumu? Isije ikawa, isije ikawa ni kilio na kusaga meno ! Mungu akishuka kutoa hukumu.
Mashairi:
1. Hivyo ndugu zangu tujiweke tayari ili pale atakapokuja kutoa hukumu yake atukute tupo tayari.
2. Tutubu makosa tumrudie Mungu wetu, tuyatubu madhambi tumkimbie ibilisi, tujiepushe na hila zake.