Mtunzi: Thomasmaotsetung
> Mfahamu Zaidi Thomasmaotsetung
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomasmaotsetung
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomasmaotsetung Mathias
Umepakuliwa mara 620 | Umetazamwa mara 1,529
Download Nota Download Midi
ENYI MUMTAFUTAO MUNGU
Enyi mumtafutao Mungu, mioyo yenu, ihuishwe mioyo ihuishwe, ihuishwe.
1. Nami maombi yangu nakuomba wewe Bwana
wakati ukupendezao Ee Mungu (Mungu wangu)
Kwa wingi wa fadhili zako unijibu
2. Katika kweli ya wokovu wako Ee Bwana unijibu,
Maana fadhili zako ni njema, ni njema (Mungu wangu)
kwa kadiri ya rehema zako unielekee.
3. Nami niliye maskini na mtu wa huzuni,
Ee Mungu umeniokoa, nami pia kwa shukrani, (Mungu wangu)
Nitalisifu Jina lako, nitakutukuza.