Ingia / Jisajili

ENYI MUMTAFUTAO MUNGU

Mtunzi: Thomasmaotsetung
> Mfahamu Zaidi Thomasmaotsetung
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomasmaotsetung

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Thomasmaotsetung Mathias

Umepakuliwa mara 390 | Umetazamwa mara 1,067

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

ENYI MUMTAFUTAO MUNGU

Enyi mumtafutao Mungu, mioyo yenu, ihuishwe mioyo ihuishwe, ihuishwe.

1.     Nami maombi yangu nakuomba wewe Bwana

wakati ukupendezao Ee Mungu (Mungu wangu)

Kwa wingi wa fadhili zako unijibu

2.     Katika kweli ya wokovu wako Ee Bwana unijibu,

Maana fadhili zako ni njema, ni njema (Mungu wangu)

kwa kadiri ya rehema zako unielekee.

3.     Nami niliye maskini na mtu wa huzuni,

Ee Mungu umeniokoa, nami pia kwa shukrani, (Mungu wangu)

Nitalisifu Jina lako, nitakutukuza.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa