Ingia / Jisajili

Ni Neno Jema Kumshukuru Bwana

Mtunzi: Thomasmaotsetung
> Mfahamu Zaidi Thomasmaotsetung
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomasmaotsetung

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Thomasmaotsetung Mathias

Umepakuliwa mara 1,189 | Umetazamwa mara 3,641

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

NI NENO JEMA KUMSHUKURU

Ni neno jema, ni neno jema ni neno jema kumshukuru Bwana.X2

  1. 1. Kuliimbia jina, jina lako wewe uliye juu, kuzitangaza rehema zako zote asubuhi,
  2. Na mwenye haki atasitawi sana kama mtende, naye atakuwa kama mwerezi mwerezi wa Lebanoni.
  3. Waliopandwa katika nyumba ya Bwana watasitawi, watazaa matunda hadi wakati wakati wa uzee, watangaze ya kuwa Bwana ni mwenye adili.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa