Ingia / Jisajili

Onjeni Muone

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 737 | Umetazamwa mara 2,186

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Onjeni onjeni muone ya kuwa (Bwana) ya kuwa Bwana ni mwema x2 1. A: Nitamhimidi Bwana kila wakati B: Sifa zake zikinywani mwangu daima, katika Bwana nafsi yangu itajisifu. 2.A: Mtukuzeni Bwana Mungu pamoja nami B: Tuliadhimishe jina lake pamoja, nalimtafuta Bwana wangu akanijibu 3.A: Nao malaika hufanya kituo B: Akiwazunguka wamchao Bwana, onjeni muone ya kuwa Bwana yu mwema

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa