Ingia / Jisajili

Enyi Watu Wa Sayuni

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Majilio | Mwanzo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 322 | Umetazamwa mara 527

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 2 ya Majilio Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Enyi watu wa Sayuni tazameni Bwana atakuja kuwaokoa atakuja kuwaokoa mataifa X2

1. Naye Bwana atawasikizisha sauti yake sauti yake ya utukufu katika furaha ya mioyo yenu

2. Wewe uuhubiriye uuhubiriye Sayuni habari njema habari njema panda juu ya mlima mrefu

3. Wewe uuhubiriye uuhubiriye Yerusalemu habari njema habari njema paza sauti usiogope

4. Tazameni Bwana Mungu atakuja kama shujaa atakuja kama shujaa na mkono wake ndio utakaomtawalia

5. Bwana atatoa kilicho chema na nchi yetu itatoa mazao yake itatoa mazao yake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa