Ingia / Jisajili

Yoyote Myaombayo Mkisali

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 437 | Umetazamwa mara 1,233

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 33 Mwaka A
- Antifona / Komunio Dominika ya 33 Mwaka B
- Antifona / Komunio Dominika ya 33 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana asema amin nawaambia yoyote myaombayo mkisali aminini ya kwamba mnayapokea nayo yatakuwa yenu X2,

1. Kila msimamapo na kusali sameheni mkiwa na maneno juu ya mtu ili na Baba yenu aliye mbinguni awasamehe na ninyi makosa yenu

2. Lakini kama ninyi hamsamehe wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe makosa yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa