Ingia / Jisajili

Fadhili Za Bwana Nitaziimba Milele

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 711 | Umetazamwa mara 2,204

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Fadhili za Bwana nitaziimba milele x2 Kwa kinywa changu (kwa kinywa changu) nitavijulisha vizazi vyote, vizazi vyote uaminifu wako x2 1. Maana nimesema fadhili zitajengwa milele katika mbingu utauthibitisha utauthibitisha uaminifu wako. 2. Heri watu wale waijuao sauti ya shangwe Ee Bwana huenenda katika huenenda katika nuru ya uso wako. 3. Kwa jina lako hufurahi mchana kutwa na kwa haki yako hutukuzwa maana fahari ya nguvu zako ni wewe.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa