Ingia / Jisajili

Mahali hapa panatisha

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 479 | Umetazamwa mara 1,846

Download Nota
Maneno ya wimbo

MAHALI HAPA PANATISHA

  •                                                                                                                                                                     Valentine Ndege,
  •                                                                                                                                                                      Mwangika
  • Kiitikio:

Mahali hapa, mahali hapa mahali hapa mahali hapa panatisha x2 niingie nyumbani mwako niingie nyumbani mwako niingie nyumbani mwako nikaziingie nyua zako x2

  • Mashairi:
  • 1.Naingia patakatifu pako, nisujudu nikusifu nikuimbie zaburi, ambaye kwako zinatoka sifa zako.
  • 2.Fungua malango yako Bwana, nitazame najongea altare yako kwa unyenyekevu, nitume Bwana niwachunge kondoo wako.
  • 3.Ee Bwana tazama naingia naiingia hekaluni mwako, nyumba yako ni nyumba ya sala basi twakutolea sala na maombi (yetu) wewe uliye juu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa