Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 883 | Umetazamwa mara 5,202
Download Nota Download MidiNjoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kuelemewa na mizigo nami nitawapumzisha
Mashairi:
1.Jitieni nira yangu mjifunze toka kwangu kwakuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo nanyi mtapata raha nafsini mwenu.
2.Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.