Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 4,358 | Umetazamwa mara 10,931
Download Nota Download MidiKiitikio:
Dondokeni enyi Mbingu na mawingu yammwage mwenye haki nchi ifunuke kumtoa Mwokozi.
Mashairi:
1.Umtume mwanakondoo mtawala wa dunia, umtume toka jabali la mlima Sayuni ili aondoe kongwa la utumwa wetu.
2. Dondokeni enyi mbingu, dondokeni toka juu na mawingu yammwage mwenye haki, nchi ifunuke kumtoa Mwokozi.