Ingia / Jisajili

Furahi Yerusalemu

Mtunzi: Thomasmaotsetung
> Mfahamu Zaidi Thomasmaotsetung
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomasmaotsetung

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: Thomasmaotsetung Mathias

Umepakuliwa mara 154 | Umetazamwa mara 572

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 4 ya Kwaresma Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
FURAHI YERUSALEMU Furahi Yerusalemu Mshangilieni ninyi nyote mpendao.X2 1. Furahini ninyi nyote mliao, kwa ajili na kwa ajili yake 2. Mtapata kunyonya na kushibishwa kwa maziwa ya faraja Yake

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa