Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 3,310 | Umetazamwa mara 7,371
Download Nota Download MidiKiitikio:
Furahi, furahi, furahi Yerusalemu (x 2). Mshangilieni ninyi nyote, mshangilieni ninyi nyote, mshangilieni ninyi nyote mmependao, mshangilieni ninyi nyote mmependao.
Mashairi:
1. Furahini ninyi nyote mliao kwaajili yake, furahini ninyi nyote mliao kwaajili yake, kunyonya na kushibishwa maziwa ya faraja zake.
2. Kwamaana mtabebwa, na juu ya magoti yake mtabembelezwa.