Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 1,300 | Umetazamwa mara 3,774
Download Nota Download Midi1.Mbali kule nasikia Malaika juu angani Wakiimba wengi pia wimbo huo angani.
2.Wachunga tuambie ni sababu gani ya nyimbo hizo Mwenye kuimbiwa ni nai juu ya nani sifa hizo.
3.Je, hamjui jambo hilo la kuzaliwa Mwokozi habari ya wimbo huo ni kumshukuru Mungu.
4.Kweli nasi twende hima tufike huko aliko Mtoto pamoja na mama tuwasalimie huko.
CHORUS:
Grolia, Grolia in ex cel sis Deo