Ingia / Jisajili

Heri Aliyemfanya Bwana Kuwa Tumaini Lake

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 6 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake heri aliyemfanya Bwana kuwa tumaini lake wala hakuwaelekea wenye kiburi wala hakuwaelekea wenye kiburi X2

1. Heri mtu yule asiyekwenda katika shauri la wasio haki wala hakusimama katika njia ya wakosaji wala hakuketi barazani pa wenye mizaha bali sheria ya Bwana ndiyo impendezayo ba sheria yake huitafakari mchana na usiku

2. Naye atakuwa kama mti uliopandwa kando kando ya vijito vya maji uzaao matunda yake kwa majira yake wala jani lake halinyauki na kila alitendalo litafanikiwa

3. Sivyo walivyo wasio haki wasio haki hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo kwa kuwa Bwana anaijua njia ya wenye haki bali njia ya wasio haki itapotea


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa