Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Mwanzo | Zaburi
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 395 | Umetazamwa mara 1,541
Download Nota Download MidiHeri heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao
1.Mpigieni Bwana vigelegele enyi wenye haki kusifu kunawapasa wanyofu wa moyo
2. heri taifa ambalo Bwana ni Mungu wao watu aliowachagua kuwa urithi wake
3. tazanma jicho la Bwana lipo kwao wamchao wazingojeao fadhili za Bwana
4. nafsi zetu zinamngoja Bwana yeye ndiye msaada wetu msaada wetu na ngao yetu