Mtunzi: Michael Mhanila
> Mfahamu Zaidi Michael Mhanila
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mhanila
Makundi Nyimbo: Shukrani | Pasaka
Umepakiwa na: Michael Mhanila
Umepakuliwa mara 488 | Umetazamwa mara 2,485
Download Nota Download MidiMwokozi amefufuka tumshangilie twimbe aleluya
1. Simba wa yuda ameshinda mauti tumshangilie
2. chereko na vifijo Bwana amefufuka twimbe aleluya
3. Yesu ni mshindi wote tusherekee twimbe aleluya