Ingia / Jisajili

Naamini Yakuwa Nitauona Wema Wake Bwana

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 167 | Umetazamwa mara 581

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
NAAMINI YA KUWA NITAUONA WEMA WAKE BWANA Naami ya kuwa nitauona wema wake Bwana *2 Katika nchi ya walio hai *2 1. Bwana ni nuru yangu na wokovu wangu, ni mwogope nani, ni mwogope nani. Bwana ni ngome ya uzima wangu, ni mhofu nani, ni mhofu nani 2. Neno moja nimelitaka, kwa Bwana, Nalo ndilo nitakalolitafuta, nikae nyumbani, nyumbani mwa Bwana, siku zote za maisha yangu, niutazame uzuri , wa Bwana, nakutafakari hekaluni, hekuluni mwake, 3. Ee Bwana usikie, kwa sauti yangu ninali, unifadhili, unifadhili, unijibu, uliposema, nitafuteni uso wangu, moyo, moyo wangu umekuambia

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa