Mtunzi: John Keneddy Kizza
> Mfahamu Zaidi John Keneddy Kizza
> Tazama Nyimbo nyingine za John Keneddy Kizza
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Keneddy Kizza
Umepakuliwa mara 695 | Umetazamwa mara 2,500
Download Nota Download Midi
Tuziimbe sifa za Bwana, na kutangaza maajabu yake duniani kote
{Anastahili sifa heshima na utukufu, tumiwimbie kwa vinanda na vinubi vichezewe (tumfanyie shangwe) tena tumwimbie kwa vinanda tupige vigelegele, tumshukuru Bwana muumba wa vyote} X2
1. Enzi na utukufu ni vyake Bwana, aliumba vitu vyote, nasi sasa tumtukuze
2. Kwa uweza wake mbingu ziliumbwa, pia nchi na viijazavyo, vyote Bwana aliviumba
2. Tumwimbie Bwana kwa sauti nzuri, tumwimbie nyimbo tamu tamu, kwa maana ni Muumba wetu.