Mtunzi: John Keneddy Kizza
> Mfahamu Zaidi John Keneddy Kizza
> Tazama Nyimbo nyingine za John Keneddy Kizza
Makundi Nyimbo: Pentekoste
Umepakiwa na: Keneddy Kizza
Umepakuliwa mara 1,498 | Umetazamwa mara 3,475
Download Nota Download MidiNjoo roho mfariji, tushushie mapaji yako (njoo), tujaze neema zako tujalie fadhila zako, Roho Mtakatifu kaa ndani ya nyoyo zetu 1. Wewe uliye pamoja na Baba na Mwana, utukuzwe usifiwe milele na milele