Ingia / Jisajili

Imba nasi John Bosko

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Watakatifu

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 231 | Umetazamwa mara 1,076

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Twakuita John Bosko, Msimamizi wa kwaya yetu, Somo wetu Mwaminifu simamia kwaya yetu, Imba nasi somo wetu, Tuongoze wana wako, tufikishe mbinguni x2 1. Tujalie upendo (tujalie upendo) tujalie amani (tujalie amani) furaha na mshikamano kati yetu 2. Ondoa majivuno (ondoa majivuno) wivu na maseng'enyo (wivu na maseng'ényo) washa ndani yetu roho ya utakatifu 3. Beba utume wetu (beba utume wetu) beba na nyoyo zetu (beba na nyoyo zetu) tuongoze utufikishe mbinguni

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa