Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 565 | Umetazamwa mara 2,666
Download Nota Download MidiKiitikio
Kabila langu nimekutendani*2.
Nimekutenda nini mimi. Nimekutenda nini, au mimi nimekutenda nini (au) nimekusikitisha nini nijibu*2
Beti
1. Ilinipasa kukutenda kukutenda nini zaidi, ningekutenda nini nisikutendee?
2.Nilikupenda kama shamba, shamba langu zuri sana, nawe ukawa mchungu, mchungu san kwangu.
3.Nilikulisha majangwani, ewe kabila langu ukanipiga makofi, ukanipiga mijeledi
4.Nilikunywesha maji, maji ya uzima, nawe ukaninyesha, nyongo na siki.