Ingia / Jisajili

INGEKUWA HERI LEO

Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe

Makundi Nyimbo: Misa | Zaburi

Umepakiwa na: Reuben Maghembe

Umepakuliwa mara 430 | Umetazamwa mara 1,370

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 4 Mwaka B
- Katikati Dominika ya 18 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 23 Mwaka A
- Katikati Dominika ya 23 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 27 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio

Ingekuwa heri leo msikie sauti yake *

Msifanye migumu mioyo msiifanye migumu mioyo yenu *2

Msiifanye migumu mioyo yenu

 

Beti

      i.        Njoni tumwimbie Bwana Mwamba wa wokovvu wetu tumfanyie shangwe tuje mbele zake kwa shukrani tumfanyie shangwe kwa Zaburi

     ii.        Njoni tuabudu tusujudu njoni tusujudu tupige goti mbele zake Bwana kwa maana ndiye Mungu wetu tu watu wa malishoye na kondoo wake

    iii.        Kama vile huko Meriba siku ya masa jangwani waliponijaribu baba zenu wakapima wakapima wakayaona matendo yangu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa