Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Pasaka
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 541 | Umetazamwa mara 2,621
Download Nota Download MidiKiitikio
Siku gani leo siku ya furaha *2
Mwokozi amefufuka siku hii ya tatu shangwe dunia yote
Yesu Kristo kafufuka *2
Chereko kafufuka yu mzima sasa dunia ifanye shangwe
Mkombozi kafufuka *2
Mashairi
1.Yesu aliyeteswa na wayahudi msalabani leo kafufuka
kama vile alivyosema mwenyewe furaha
2. Nasi tufurahi tufufuke pamoja naye ukombozi wetu
umekamilika vile ilivyoandikwa
3. Leo si huzuni tena bali ni furaha kaburi la Yesi
limefunguliwa kwa ushindi wa ukombozi