Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 322 | Umetazamwa mara 1,889
Download Nota Download MidiKiitikio
Yesu wangu Mwokozi, Yesu wangu ninakuja mbele zako
naomba uniokee *2
Aulaye mwili wake na kuinywa damu yake atakuwa na
uzima *2
Mashairi
·
Bwana ulisema tuje kwako sisi wenye kulemewa na mizigo
nawe utatupumzisha
·
Ee Bwana nitakase nafsi yangu niwe mwema niwe
mtakatifu nitakase Bwana
·
Twende mezani kwake tukaule mwili waketuinywe na damu
yake sote tupate uzima