Mtunzi: Reuben Maghembe
> Tazama Nyimbo nyingine za Reuben Maghembe
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Reuben Maghembe
Umepakuliwa mara 1,291 | Umetazamwa mara 4,699
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Mwimbieni Bwana wimbo mpya mwimbieni Bwana wimbo mpya nchi yote
Watu wote mwimbieni Bwana Mungu wetu kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu mambo ya ajabu * 2
Kwa shangwe inueni sauti imbeni kwa furaha imbeni zaburi mshangilieni Bwana nchi yote *2
BETI
1. Mkono wake mkono wake yeye mwenyewe umetenda wokovu mkono wake umetenda wokovu
2. Bwana ameufunua wokovu wake machoni pa mataifa ameidhihirisha haki yake haki yake
3. Amezikumbuka rehema zake na uaminifu wake uaminifu wake kwa nyumba ya Israel