Mtunzi: Hilali John Sabuhoro
> Mfahamu Zaidi Hilali John Sabuhoro
> Tazama Nyimbo nyingine za Hilali John Sabuhoro
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Halisi Ngalama
Umepakuliwa mara 428 | Umetazamwa mara 1,750
Download Nota Download MidiWaufumbua mkono mkono wakoX2 wakishibisha kila kilicho hai wakishibisha kila kilicho hai wakishibisha kila kilichohai matakwa yakeX2
1: Bwana ana fadhili ni mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira ni mwingi wa guruma.
2; Macho ya watu wote yakuekekea wewe, nawe huwapa chakula chao wakati wake.
3;Bwana ni mwenye haki katika njia zake, na mwenye fadhili juu ya kazi zake zote.