Mtunzi: Joseph Nyarobi
> Mfahamu Zaidi Joseph Nyarobi
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Nyarobi
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Joseph Nyarobi
Umepakuliwa mara 641 | Umetazamwa mara 2,328
Download Nota Download MidiKIITIKIO
Katika mji wa Daudi, katika mji wa Daudi amezaliwa kwa ajili yenu, mwokozi ndiye ndiye Kristo Bwana X2
Na hii ndiyo ishara kwenu, mtamkuta mtoto, mtoto mchanga naye amevikwa nguo za kitoto amelala horini X2
BETI
1. Hori la kulishia ng'ombe, humo ndimo ukombozi wa ulimwengu umepatikana
2. Wachunga wakaenda haraka , wakamkuta Mariamu, Yusufu na yule mtoto mchanga
3. Mama Jusi kwa furaha kubwa, walifika mahali alipozaliwa mwokozi wakiongozwa na nyota
4. Atukuzwe Mungu mbinguni na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia