Ingia / Jisajili

BWANA ATUKUZWE

Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Bwana atukuzwe milele na milele, milele, atukuzwe milele, milele, Bwana atukuzwe milele X2

Beti

1. Yesu Kristo kwa asili alikuwa daima Mungu, alikuwa daima Mungu

2. Ila kwa kutaka yeye mwenyewe aliachilia hayo, hayo yote akawa sawa na mwanadamu

3. Alijinyenyekeza na kutii mpaka kufa, hata kufa msalabani


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa