Mtunzi: Patrick Konkothewa
> Mfahamu Zaidi Patrick Konkothewa
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Konkothewa
Makundi Nyimbo: Miito
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 743 | Umetazamwa mara 2,463
Download NotaPATRICK KO'NKO'THE'WA
AIRPORT PARISH
DODOMA
28 JANUARY, 2011
Kondoo wangu waisikia, waisikia sauti yangu, sauti yangu asema Bwana x2
Nami nawajua na wao wanijua mimi nao wanifuata x2
1. Mimi ndimi mchungaji mwema nao walio wangu wanijua , nao walio wangu wanijua mimi.
2. Basi enendeni mkawafanye mataifa yote yote kuwa wanafunzi wangu, wanafunzi wangu.
3. Roho wa Bwana yu juu yangu, Roho wa Bwana yu juu yangu, kwa maana amenitia mafuta.