Ingia / Jisajili

Pokea Vipaji vyetu

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Misa | Shukrani

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 915 | Umetazamwa mara 2,751

Download Nota
Maneno ya wimbo
  •                                                                             Pokea Vipaji vyetu
  •                                                                                                                                                             Valentine Ndege

Kiitikio:

/Pokea Vipaji vyetu Bwana, pokea vipaji tunavyokutolea vya mkate na divai/ x2 /Pokea pokea Vipaji vyetu/ x2

Mashairi:

  • 1.Mazao ya shambani twayaleta uyapokee, tumeyapata kwa juhudi zetu wenyewe, twakusihi Baba pokea
  • 2.Na fedha za mifukoni twazileta uzipokee, tumezipata kwa juhudi zetu wenyewe, twakusihi Baba pokea
  • 3.Vyote ni mali yako tumepata kwa wema wako,uvipokee Bwana na uvitakase, twakusihi Baba pokea.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa