Ingia / Jisajili

Kwa Ukunjufu Wa Moyo

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  • Kwa ukunjufu wa moyo nitakutolea dhabihu (Ee Bwana) nitalishukuru jina lako nitalishukuru jina lako maana ni jema X2

1. Tazama Mungu ndiye anayenisaidia Bwana ndiye anayenitegemeza nafsi yangu

2. Ee Mungu Mungu uyasikie maombi yangu uyasikilize maneno ya kinywa changu

3. Ee Mungu kwa jina lako uniokoe na kwa uweza wako unifanyie hukumu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa