Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Mwanzo | Noeli
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 20 | Umetazamwa mara 31
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Alfajiri)
Nuru itatuangazia leo maana kwa ajili yetu (kwa ajili yetu) Bwana Bwana amezaliwa X2
Naye ataitwa jina lake mshauri wa ajabu Mungu Mfalme wa amani Baba wa milele na ufalme wake utakuwa hauna mwisho X2
1. Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa tumepewa mtoto mwanamume na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake
2. Maongeo ya enzi yake ya enzi yake na amani hayatakuwa na mwisho kamwe katika kiti cha enzi cha Daudi mtumishi wake