Ingia / Jisajili

Leo Katika Mji Wa Daudi

Mtunzi: Erick Mwaniki
> Tazama Nyimbo nyingine za Erick Mwaniki

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Noeli | Shukrani

Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata

Umepakuliwa mara 72 | Umetazamwa mara 293

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
LEO KATIKA MJI WA DAUDI Leo katika mji wa Daudi leo katika mji wa Daudi leo, amezaliwa kwa ajili yetu, amezaliwa kwa ajili yetu mwokozi ndiye Kristo Bwana *2 1. Leo ni shangwe tele kote ulimwenguni, tunamshangilia Mwokozi wetu amezaliwa leo 2. Amelazwa horini mfalme mtukufu, kaja kutukomboa kutoka kwenye dhambi kutuokoa 3. Tazama ile nyota kutoka mashariki, wao ni mamajusi, kamletea zawadi za dhamani 4. Bwana ametujia kutoka juu mbinguni, upendo wake kwetu kadhihirika kwetu kikamilifu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa