Maneno ya wimbo
                NINAKIRI
1.	NinakirikwambaniMwanatena wake MungualiyetumwadunianikwaajiliyetukazaliwanayeBikira Maria akashindakifokwaajiliyetunimkuu
Mungunimwenyenguvu, mwenyeupendo, Mungunimwenyenguvu, mwenyeupendo, (sifa) sifakwake (kwake) Munguwetu, (sifa) sifakwakeMunguwetu *2
2.	Anafanyakazikwawotejinsiatakavyosikuzoteatuamsha pia atulishawalasizishukuhizokazizakeninamshukuruyeyemkarimunimkuu
3.	HuyuMunguwetukajawanaupendomwingiambaohaunamipakaupendoajabuupendowakwelikaudhihirishakwetuwana wake aliyetuumbanimkuu
4.	Cha ajabunikwambayeyeyuhaishinasikilamahalituposisiyeye pia yupotutumikianetu'pendezeMungukishatupendanetumpendeMungunimkuu
Tumpesifa Baba sifakwakeMunguwetu, ndiyemkuu Baba nimkuuMunguwetu, tumshangilie Baba, tumhimidi Baba, utukufukwake Baba, naenzikwake, Baba tumpesifa, Baba Munguwetu *2
            
                                    
                Nyimbo nyingine za mtunzi huyu