Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira
Makundi Nyimbo: Zaburi | Noeli
Umepakiwa na: Alex Rwelamira
Umepakuliwa mara 1,173 | Umetazamwa mara 2,458
Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Kuzaliwa kwa Bwana (Misa ya Mchana)
Miisho yote ya dunia imeuona wokovu wokovu wa Mungu wetu imeuona wokovu wa Mungu wetu X2
1.Mwimbieni mwimbieni Bwana wimbo mpya kwa maana ametenda mambo ya ajabu
2. Mkono wa kuume mkono wake mwenyewe mkono wake Mtakatifu umemtendea wokovu
3. Bwana ameufunua wokovu wokovu wake machoni pa mataifa amedhihirisha haki yake
4. Mshangilieni Bwana mshangilieni nchi yote inueni sauti imbeni kwa furaha imbeni zaburi
5. Mwimbieni mwimbieni Bwana zaburi kwa kinubi na sauti ya zaburi