Ingia / Jisajili

Macho yangu humwelekea

Mtunzi: Samwel Mapande
> Mfahamu Zaidi Samwel Mapande
> Tazama Nyimbo nyingine za Samwel Mapande

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 554 | Umetazamwa mara 1,791

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Macho yangu humwelekea Bwana daima naye atanitoa miguu yangu katika wavu x2 {uniangalie nakunifadhili maana mimi ni mkiwa na mteswa x2}

1.Katika shida za Moyo wangu unifanyie nafasi na kunitoa katika dhiki zangu.

2.Bwana utazame teso langu na taabu yangu, unisamehe dhambi zangu zote.

3.Uwatazame adui zangu maana ni wengi wanichukiao kwa machuko ya ukali


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa