Mtunzi: Samwel Mapande
> Mfahamu Zaidi Samwel Mapande
> Tazama Nyimbo nyingine za Samwel Mapande
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 494 | Umetazamwa mara 1,720
Download Nota Download MidiBwana Asema, mawazo ninayowawazia ninyi ni mawazo ya amani wala si ya mabaya x2 (Nayi mtaniita nami nitawasikiliza nami nitawarudisha kutoka mahali pote watu wenu waliofungwa x2.)
1.Nami nitawapa Moyo wanijue ya kuwa mimi ni Bwana nao watakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wao kwa maana watanirudia kwa Moyo wao wote.
2.Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana mwiteni maadam yu karibu mtu mbaya na aache njia yake na mtu asiye haki aache mawazo yake.
3.Ombeni nanyi mtapata, tafuteni nanyi mtaona bisheni nanyi mtafunguliwa.