Mtunzi: Samwel Mapande
> Mfahamu Zaidi Samwel Mapande
> Tazama Nyimbo nyingine za Samwel Mapande
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 477 | Umetazamwa mara 1,669
Download Nota Download MidiHeri Taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, Heri Taifa ambalo Bwana ni Mungu wao x2
1.Mpigieni Mungu vigelegele enyi wenye haki, kusifu kunawapasa wanyofu wa Moyo.
2.Heri Taifa ambalo Bwana ni Mungu wao, watu aliowachagua kuwa urithi wake.
3.Tazama jicho la Bwana likwao wamchao wazingojeao fadhili zake.