Ingia / Jisajili

Amelaniwa mtu yule

Mtunzi: Samwel Mapande
> Mfahamu Zaidi Samwel Mapande
> Tazama Nyimbo nyingine za Samwel Mapande

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 303 | Umetazamwa mara 1,522

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Bwana asema hivi amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu mtu amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake, na moyoni mwake amemwacha Bwana moyoni mwake amemwacha Bwana x2

1.Kwa maana atakaa kama fukara nyikani, hatajua yatakapotakea mema.

2.Bali yeye atakaa atakaa jangwani atakaa mahali palipo ukame.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa