Mtunzi: Samwel Mapande
> Mfahamu Zaidi Samwel Mapande
> Tazama Nyimbo nyingine za Samwel Mapande
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 449 | Umetazamwa mara 1,986
Download Nota Download MidiNalifurahi waliponiambia na twende, nyumbani mwa Bwana na Miguu yetu imesimama ndani ya malango yako, Yerusalemu x2.
1.Ee Yerusalemu uliyejengwa kama mji ulioshikamana, huko ndiko walikopanda makabila kabila za Bwana.
2.Ushuhuda kwa Israeli walishukuru jina jina la Bwana maana hukohuko, viliwekwa viti vya hukumu viti vya enzi vya nyumba ya Daudi.