Mtunzi: Samwel Mapande
> Mfahamu Zaidi Samwel Mapande
> Tazama Nyimbo nyingine za Samwel Mapande
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 370 | Umetazamwa mara 1,552
Download Nota Download MidiHakuna aliyemkamilifu, hapa duniani kama Mungu wetu sote tuwakosefu, twahitaji Huruma yake, tunapaswa kuyakabidhi Maisha yetu kwake tumche yeye katika Roho na kweli x2
1.Tunapaswa kujitafakari kila wakati Mawazo yetu, maneno yetu na Matendo kama tunakwenda kwenye njia zake Mungu wetu.
2.Tusiishi kwa kuwa hukumu watu wengine, tutafakri maisha yetu tujitazame wenyewe kama tunakwenda kwenye njia zake Mungu wetu.
3.Tuishi kwa kusameheana na kuvumiliana tubebeane mizigo yote ya madhaifu yetu tuishi kwakuombea na Baraka kwake.Mungu.