Ingia / Jisajili

Macho Yangu Humwelekea Bwana Daima

Mtunzi: Wolford P. Pisa
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 873 | Umetazamwa mara 1,728

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 3 ya Kwaresma Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO

Macho yangu humwelekea Bwana Daima X2

naye atanitoa miguu yangu, naye atanitoa miguu yangu katika wavu X2

MASHAIRI

  1. Uniangalie na kunifadhili, maana mimi ni mkiwa ni mkiwa na mteswa
  2. Katika shida shida za moyo wangu, unifanyie nafasi na kunitoa katika dhiki zangu
  3. Utazame teso langu na tabu yangu, unisamehe dhambi zangu dhambi zangu dhambi zangu zote

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa