Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa
Umepakuliwa mara 2,676 | Umetazamwa mara 5,339
Download Nota Download MidiKiitikio; Tu watu wake na kondoo wa malisho yake, na kondoo wa malisho yake (Mungu) na kondoo wa malisho yake X 2 Mashairi: 1. Mfanyieni Bwana shangwe dunia yote, mtumikieni kwa furaha, njoni mbele zake kwa kuimba. 2.Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu, ndiye aliyetuumba nasi tu watu wake, na kondoo wa malisho yake. 3. Kwa kuwa Bwana ndiye mwema, rehema zake kwetu ni za milele, na uaminifu wake vizazi na vizazi.