Mtunzi: David B. Wasonga
> Mfahamu Zaidi David B. Wasonga
> Tazama Nyimbo nyingine za David B. Wasonga
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Wasonga
Umepakuliwa mara 784 | Umetazamwa mara 3,463
Download Nota Download MidiKiitikio:
Basi msiwe, msiwe na masumbuko kwani yeye asiyeoa ni mtauwa wa bwana(x 2), bali yeye aliyeoa hata yule aliyeolewa hujishughulisha, hujishughulisha na ya dunia(x2)
Mashairi:
1.Yeye aliyeoa hujishughulisha na ya duni ili apate kumpendeza, kumpendeza mkewe.
2.Hata yule aliyeolewa hujishughulisha na ya dunia, ili apate kumpendeza, kumpendeza mmewe.
3.Yeye asiyeoa hujishughulisha na utauwa, ili apate kuwa Mtakatifu, mtakatifu wa mwili na roho.
4.Hata yule asiyeolewa hujishughulisha na utauwa, ili apate kuwa Mtakatifu, mtakatifu wa mwili na roho.