Mtunzi: Thomasmaotsetung
> Mfahamu Zaidi Thomasmaotsetung
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomasmaotsetung
Makundi Nyimbo: Mwanzo
Umepakiwa na: Thomasmaotsetung Mathias
Umepakuliwa mara 446 | Umetazamwa mara 1,518
Download Nota Download Midi
MIMI NIKUTAZAME USO WAKO
Mimi nikutazame uso wako katika haki mimi,
Niamkapo nishibishwe kwa sura yako.
1. Ee Bwana, Mungu kwa mkono wako uniokoe
2. Watu wa dunia hufurahia maisha haya.