Mtunzi: Michael Mgalatia Jelas Nkana
> Tazama Nyimbo nyingine za Michael Mgalatia Jelas Nkana
Makundi Nyimbo: Misa
Umepakiwa na: Michael Nkana
Umepakuliwa mara 1,302 | Umetazamwa mara 5,025
Download Nota Download MidiKiittikio
//:Sala yangu ipae mbele yako kama moshi waubani://
//: Nakuinuliwa nakuinuliwa kwa mikono yangu iwe kama sadaka ya jioni://
Mashairi
1.Utukufu wa Bwana una yeye hata milele na milele.
2.Na ukuu wa Bwana una yeye hata milele na milele.
3.Atukuzwe Baba Atukuzwe Mwana atukuzwe Roho mtakatifu
kama mwanzo na sasa na siku zote na milele Amina.