Ingia / Jisajili

Nina Uhai Katika Imani

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Watakatifu

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 95 | Umetazamwa mara 201

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nina uhai katika imani ya Mwana wa Mungu ambaye alinipenda akajitoa nafsi yake kwa ajili yangu X2

1. Nimesulibiwa pamoja na Kristo lakini ni hai wala si mimi tena bali Kristo yu hai yu hai ndani yangu

2. Siibatili neema ya Mungu maana ikiwa haikupatikana kwa njia ya sheria basi Kristo alikufa alikufa bure

3. Maana nikiyajenga tena yale niliyoyabomoa niliyoyabomoa naonyesha ya kuwa mimi mwenyewe ni mkosaji

4. Maana mimi kwa njia ya sheria nalifia sheria nalifia sheria ili nimwishie Mungu nimwishie Mungu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa